Skip to main content

Mwanzo Kamusi Elezo ya Kiswahili Je, wajua... Makala ya wikiMaisha ya awali na elimuPicha nzuri ya wikiTakwimu ya Wikipedia ya KiswahiliJumuia za WikimediaWikipedia kwa lugha nyingineUrambazajiBofya hapa kwa kupata namba za sasahapa kwenye takwimu za makalahapa"Topviews"

Makala ya wiki


Wikipediakamusi elezokufungua akauntiukurasa wa jumuiaukurasa wa jamiimakala za msingi za kamusi elezoNgorongoroAn examplemwigizajifilamuTanzaniawilaya ya KisaraweZanzibar International Film FestivalForbes 30 Under 30Washington, D.CDar es Salaam, TanzaniaCCMNg'ombeBos












Mwanzo




Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jump to navigation
Jump to search









Karibu kwenye Wikipedia,

kamusi elezo huru, kila mtu anaweza kuihariri!

Hadi leo tuna makala takriban 50,231 kwa Kiswahili


  • Biografia

  • Dini

  • Hisabati


  • Historia

  • Jiografia

  • Jamii


  • Jumuia

  • Lugha

  • Sanaa


  • Sayansi

  • Teknolojia

  • Tiba

  • Ujenzi



     

     







Kamusi Elezo ya Kiswahili




Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!

Wikipedia ni mradi wa kuandika kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru.


Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Tunakushauri ujiandikishe na kufungua akaunti. Angalia Wikipedia:Mwongozo ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia ukurasa wa jumuia, ukurasa wa jamii, na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.







Je, wajua...




Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:



Ngorongoro



  • ... kwamba Kimondo cha Mbozi ni jiwe kubwa kutoka anga la nje linaloweza kuangaliwa huko Mbozi?

  • ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro alikuwa mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?

  • ... kwamba Calestous Juma aliaga dunia akiwa profesa wa kwanza kutoka nchini Kenya kwenye Chuo Kikuu cha Harvard, Marekani?






  • HifadhiJifunze kuanzisha makalaTeua makala




    Makala ya wiki





    An example



    Jokate Mwegelo ni mwigizaji wa filamu, mjasiriamali na mwanasiasa kutoka nchini Tanzania. Kwenye mwezi wa Julai 2018 aliteuliwa na rais John Magufuli kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Jokate vilevile alikuwa mtangazaji na mwimbaji. Mwaka wa 2011, alishinda tuzo ya Zanzibar International Film Festival akiwa kama mwigizaji bora filamu wa kike. Mwaka wa 2017, Mwegelo aliingizwa katika jarida la Forbes katika Forbes 30 Under 30 kutoka Afrika.


    Maisha ya awali na elimu


    Mwegelo alizaliwa mnamo tarehe 20 Machi, 1987, huko mjini Washington, D.C, ambapo wakati huo wazazi wake walikuwa wanafanya kazi. Alikulia jijini Dar es Salaam, Tanzania...


    Jokate hakujulikana kujishughulisha na siasa hadi mwaka 2017 alipoteuliwa na Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) kuongoza Idara ya Uahamasishaji na Chipukizi ya umoja huu akiwa kaimu katibu wa idara hii... ►Soma zaidi








    Picha nzuri ya wiki




    Ng'ombe



    Ng'ombe ni wanyama wakubwa wa jenasi Bos. Spishi ya ng'ombe ina nususpishi au aina nyingi lakini ni spishi moja tu.


    Ng'ombe hula manyasi na kutembea kwa vidole viwili.
    Asili yake ni aina za ng'ombe wa pori waliofugwa kwa sababu ya nyama na maziwa. Katika nchi nyingi anatumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.


    Wataalamu huamini ya kwamba aina zote za ng'ombe zina asili katika mashariki ya kati mnamo milenia ya 9 KK ambako watu waliwahi kuwafuga nas kutoka hapa ufugaji ng'ombe ulisambaa kote duniani.





    Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili




    • Idadi ya makala: 50,231

    • Idadi ya kurasa zote: 106,474 (pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)

    • Idadi ya hariri: 1,060,127

    • Idadi ya watumiaji waliojiandikisha: 36,318

    • Idadi ya wakabidhi: 11

    • Idadi ya watumiaji hai: 117 (Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)


    Bofya hapa kwa kupata namba za sasa

    Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali

    • hapa kwenye takwimu za makala
    (fungua anwani kwa browser yako, badilisha "Mwanzo" kwa jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015 hapa)
    • na makala 100 zilizotazamiwa zaidi "Topviews" kwa kipindi fulani.
    (unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku)

    Jumuia za Wikimedia
























    Commons
    Ghala ya Nyaraka za Picha na Sauti


    Meta-Wiki
    Uratibu wa Miradi yote ya Wikimedia

    Wiktionary-logo.svg


    Wikamusi
    Kamusi na Tesauri

    Wikibooks-logo.png


    Wikitabu
    Vitabu vya bure na Miongozo ya Kufundishia

    Wikiquote-logo-51px.png


    Wikidondoo
    Mkusanyiko wa Nukuu Huria

    Wikisource-logo.png


    Wikichanzo (Wikisource)]
    Matini za vyanzo asilia kwa Kiswahili


    Wikispishi
    Kamusi ya Spishi

    Graduation cap.png


    Wikichuo
    Jumuia ya elimu

    Wikinews-logo.png


    Wikihabari
    Habari Huru na Bure





    Wikipedia kwa lugha nyingine



    Wikipedia kwa lugha nyingine


    Wikipedia ipo katika lugha zaidi ya 250. Bofya hapa kuona orodha ya lugha zote za Wikipedia. Ona hapa hali ya Wikipedia kwa lugha za Kiafrika.


    Lugha zenye makala zaidi ya 1,000,000:


    Deutsch (Kijerumani) -
    English (Kiingereza) -
    Español (Kihispania) -
    Français (Kifaransa) -
    Italiano (Kiitalia) -
    Nederlands (Kiholanzi) -
    Polski (Kipolishi) -
    Русский (Kirusi)
    Svenska (Kiswidi)-

    Lugha zenye makala zaidi ya 500,000:


    日本語 (Kijapani) -
    Português (Kireno) -
    Tiếng Việt-
    中文 (Kichina)

    Lugha zenye makala zaidi ya 250,000:


    Català (Kicatalan) -
    Suomi (Kifinland) -
    Norsk bokmål (Kinorway) -
    Українська (Kikrain)

    Lugha zenye makala zaidi ya 100,000:


    Česky (Kicheki) -
    Dansk (Kidenmark) -
    Esperanto (Kiesperanto) -
    Bahasa Indonesia (Kiindonesia) -
    Magyar (Kihungaria) -
    Română (Kiromania) -
    Slovenčina (Kislovakia) -
    Volapük -
    Türkçe (Kituruki) -



    Lugha za Kiafrika:


    Afrikaans ·
    አማርኛ ·
    Bamanankan ·
    Chi-Chewa ·
    chiShona ·
    chiTumbuka ·
    Ɛʋɛ ·
    Fulfude ·
    Gĩkũyũ ·
    هَوُسَ ·
    Ìgbo ·
    isiXhosa ·
    isiZulu ·
    Taqbaylit ·
    Kiarabu ya Masri ·
    Kikongo ·
    Kinyarwanda ·
    Kirundi ·
    Lingala ·
    Luganda ·
    Malagasy ·
    Malti ·
    Oromoo ·
    Oshiwambo ·
    Sängö ·
    seSotho ·
    Setswana ·
    SiSwati ·
    Soomaaliga ·
    ትግርኛ ·
    Tshivenda ·
    Twi ·
    Wolof ·
    Xitsonga ·
    Yorùbá ·

    Jinsi ya kuanzisha Wikipedia kwa lugha mpya









    Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mwanzo&oldid=1005110"










    Urambazaji


























    (window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.112","walltime":"0.143","ppvisitednodes":"value":223,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":11523,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":971,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":5,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":3173,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 50.269 1 -total"," 39.01% 19.609 1 Kigezo:Wikipediasister"," 14.98% 7.532 1 Wikipedia:Makala_ya_wiki"," 13.43% 6.749 1 Kigezo:Je_wajua"," 9.30% 4.673 1 Wikipedia:Makala_ya_wiki/Jokate_Mwegelo"," 6.11% 3.071 1 Kigezo:Kamusi_Elezo_ya_Kiswahili"," 5.32% 2.676 1 Kigezo:Wikipedia_kwa_lugha_nyingine"," 5.12% 2.572 1 Kigezo:MainPageInterwikis"," 5.03% 2.526 1 Kigezo:Purge"," 4.32% 2.173 2 Kigezo:-"],"cachereport":"origin":"mw1230","timestamp":"20190509080754","ttl":3600,"transientcontent":true););"@context":"https://schema.org","@type":"Article","name":"Mwanzo","url":"https://sw.wikipedia.org/wiki/Mwanzo","sameAs":"http://www.wikidata.org/entity/Q5296","mainEntity":"http://www.wikidata.org/entity/Q5296","author":"@type":"Organization","name":"Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia","publisher":"@type":"Organization","name":"Wikimedia Foundation, Inc.","logo":"@type":"ImageObject","url":"https://www.wikimedia.org/static/images/wmf-hor-googpub.png","datePublished":"2004-05-31T00:39:45Z","dateModified":"2017-06-28T17:33:02Z","image":"https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/b/b4/Cow_horned_portrait.jpg"(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgBackendResponseTime":137,"wgHostname":"mw1263"););

    Popular posts from this blog

    Tórshavn Kliima | Partnerstääden | Luke uk diar | Nawigatsjuun62° 1′ N, 6° 46′ W62° 1′ 0″ N, 6° 46′ 0″ WWMOTórshavn

    南部首創開放式體驗廚房 用智慧廚具做出好料理

    大學姐愛和弟洗澡 突襲浴室求共浴