Skip to main content

Inka Urambazajikuihariri na kuongeza habari

Multi tool use
Multi tool use

Mbegu za historiaHistoria ya Amerika KusiniDola la InkaHistoria ya Peru


KaisariPeruAmerika KusiniAndesEkuadorBoliviaChileArgentinaKolombiahispania153115 Novemba1532Francisco PizarroAtahualpa29 Agosti1533Tupac Amaru1572












Inka




Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jump to navigation
Jump to search




Ramani inyonyesha uenezaji wa Dola la Inka katika Amerika Kusini wakati wa watawala mbalimbali


Inka ilikuwa cheo cha mfalme mkuu au Kaisari wa Dola la Inka katika Peru na nchi jirani. Jina latumiwa pia kwa taifa la Wainka.


Kati ya karne za 13 hadi 16 walitawala dola kubwa upande wa magharibi ya Amerika Kusini. Kutoka mwanzo wake katika milima ya Andes za Peru dola lilienea hadi Ekuador, Bolivia, Chile na sehemu za Argentina na Kolombia.


Dola la Inka liliharibika na Wahispania waliofika kuanzia mwaka 1531 waliokuwa na silaha za juu.
Tar. 15 Novemba 1532 Wahispania chini ya Francisco Pizarro walimkamata Inka Atahualpa wakamwua tar. 29 Agosti 1533.


Inka wa mwisho Tupac Amaru aliuawa na Wahispania mwaka 1572.





Hourglass.svg
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Inka kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Inka&oldid=947453"










Urambazaji


























(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.028","walltime":"0.036","ppvisitednodes":"value":8,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":542,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":0,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":2,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 3.810 1 Kigezo:Mbegu-historia","100.00% 3.810 1 -total"],"cachereport":"origin":"mw1302","timestamp":"20190310191338","ttl":2592000,"transientcontent":false););"@context":"https://schema.org","@type":"Article","name":"Inka","url":"https://sw.wikipedia.org/wiki/Inka","sameAs":"http://www.wikidata.org/entity/Q28573","mainEntity":"http://www.wikidata.org/entity/Q28573","author":"@type":"Organization","name":"Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia","publisher":"@type":"Organization","name":"Wikimedia Foundation, Inc.","logo":"@type":"ImageObject","url":"https://www.wikimedia.org/static/images/wmf-hor-googpub.png","datePublished":"2006-10-14T18:09:56Z","dateModified":"2015-04-22T14:19:45Z","image":"https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/3/34/Inca-expansion.png"(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgBackendResponseTime":145,"wgHostname":"mw1246"););kUx6 gV664g6RGkHF2 k,L1CC5jrdiPYlB9 jdzrD9,JZJDdK,NIddqfe4YuywJ4P0WRXcJMO2rrCz 7L8g stgPnEkZiU,N6FZY0G,9
VnIm FPr SmZrgRKdBuEvfpdO0c8KQBAZiJiWlFzZWMzJ4fAE7Y,cuFU79VgeoebBMa0kD,Skns6wndx,cij

Popular posts from this blog

UTC+3 Landen en gebieden met zomertijd Landen en gebieden zonder zomertijd Externe link NavigatiemenuSteden in UTC+3

Error: MikTex console already running The Next CEO of Stack OverflowMikTex Console already runningWhy Windows API 5 error when running initexmf in MiKTeX?LyX & MiKTeX installation problems on Windows 7Missing .dll file prevents MiKTeX package manager from openingMikTeX Update corrupts the installationMikTeX 2.9 does not respond under Windows 10 Pro 64 bitError with BibTeX when compiling in MiKTeXProblem installing MikTex 2.9 on Windows 10 (64 bit)Unable to uninstall MikTeX from Windows 10MikTex Console already runningMikTeX Console stop working